![]() |
Pengine Lumia zitumiazo Android zitakuwa na muonekano huu. |
Pamoja na Nokia kununuliwa na Microsoft lakini pia hafungwi kuweza kufanya miradi mingine ambayo haihusiani na Microsoft.Windows Phone OS inakua kwa kasi sasa na umaarufu wa simu za Nokia Lumia unaongezeka kutokana na kuwa na kamera zenye kutoa picha zenye ubora wa hali ya juu,lakini pamoja na sifa zote hizi watu wanataka kuona Lumia zikitumia Android,kamera tu haitoshi kumvuta mtu kununua simu bali operating system ndicho kilicho cha msingi zaidi.Kwa upande wangu nadhani Nokia anatakiwa pia kutumia Android OS hii itamuongezea umaarufu katika soko kwa sababu watu wengi wenye mapenzi na Nokia wanataka kuziona zikitumia Android OS.
No comments :
Post a Comment