Jan 19, 2015

Jinsi ya kujiunga na internet kiusahihi katika smartphone yako( BlackBerry 10 smartphones).

Maelezo haya yanahusu kuunganisha internet katika smartpone inayotumia operating system ya BlackBerry 10. Simu kama BlackBerry Z10, BlackBerry Z30, BlackBerry Q10, BlackBerry Q5, BlackBerry Passport na BlackBerry Passport. Akaunti utayotengeneza katika uunganishaji wa internet itakubali kutumika katika mitandao yote, hautahitaji kubadili settings hizo pale unapobadili kutoka mtandao mmoja kwenda mtandao mwingine.


HATUA.

1. Ingia katika Settings.





















2. Ingia katika Network and Connections na kisha ingia katika Mobile Network.




















3. Ingia katika APN(Access Point Names).




















4. Jaza neno "internet" mahali palipoandikwa Access Point Names(APN), baada ya hapo bonyeza save.




















6. Hakikisha Mobile Network ipo On( Tazama katika hatua ya tatu).

7. Hapo unaweza kuanza kutumia internet.

No comments :

Post a Comment