Jan 29, 2014

BBM inakuja katika simu zenye Android 2.3 Gingerbread februari hii.

Tangu app ya BBM kuzinduliwa katika iOS na Android imeweza kuwa installed zaidi ya mara milioni 30 mpaka sasa. Katika Android inasupport simu zenye Android 4.0 Ice Cream Sandwich na kuendelea.


 BlackBerry wameamua kuongeza zaidi support ya BBM katika Android. Mwezi wa februari watazindua version ya BBM itayosupport simu zinazotumia Android 2.3 Gingerbread. Hii itaongeza mchuano mkubwa sana kati ya BBM na Whatsapp,watu wengi sana wanamiliki simu zenye Android 2.3 na wanatumia hasa Whatsapp kwa ajili ya kuchat. BBM itapokuja kutakuwa na machaguo zaidi kwa app za kuchat.

No comments :

Post a Comment