Oct 22, 2013

Baadhi ya akaunti zilizosajiliwa mwanzo zimeanza pewa access ya kutumia BBM

BlackBerry wameanza kuruhusu baadhi ya email za mwanzo kuanza kutumia BBM,mpaka kufikia watu wote haitakuchukua muda sana ni swala la wao kuhakikisha app hii inafikia watu bila tatizo kama ilivyo mwanzo.


 Muonekano wake ni kama ule wa kwenye BlackBerry zinazotumia BB OS10,hizi ni baadhi ya screenshots!!



No comments :

Post a Comment