May 20, 2013

Inawezekana hii ndo kizazi cha pili cha tablet za google nexus 7 zilizoonekana katika video rasmi ya Google..

Pamoja na Google kutotangaza simu au tablet yoyote  mpya katika mkutano wa Google I/O hivi karibuni.Tetesi zimezagaa mtandaoni kuhusu ujio mpya wa tablet za nexus 7.



 Kama unavyoona katika picha hapo juu hapo haionekani kama nexus 7 ya sasa ambapo ule weusi unaizunguka kioo(bezel) unaonekana umepunguzwa kidogo.


Inaaminika kwamba tab hii itakuwa na HD display na Qualcomm CPU.






No comments :

Post a Comment