Kwa muda mrefu kumekuwa na mkanganyiko katika matumizi ya maneno haya mawili, iPad na Tablet. Hapa kuna mambo mawili ambayo hujitokeza mara kwa mara. Kuna wale ambao huita Tablet yoyote iliyo mbele ya macho yao "iPad" na wengine hudhani kwamba iPad si "Tablet", hawa wote wanakosea. Lakini, kabla ya kwenda mbali sana tujue kwanza maana za haya majina mawili.
TABLET - nI kifaa cha kielectroniki chenye ukubwa wa kioo(display) kuanzia inchi 7 hadi inchi 20(Panasonic washawahi toa tablet ya aina hii). Ina uwezo kama smartphones nyingine, kuna zile zinaweza kuweka sim card na kufanya mawasiliano kama ya simu na zile zisizo support sim card, hizi hutumia wireless internet(Wi-Fi) na zinafahamika kama WiFi only tablets, hutumia WiFi tu kwa mawasiliano, huwezi piga simu wala kutuma sms(no GSM communication). Mfano wa tablets ni kama Nexus 7, iPad mini 2, iPad Air, Kindle Fire HD n.k.
iPad - Ni tablets zinazotengenezwa na kampuni ya Apple. Zipo katika muundo mbalimbali, model zake hutofautiana katika sifa(features) kama
Showing posts with label ipad. Show all posts
Showing posts with label ipad. Show all posts
Oct 29, 2014
May 16, 2013
Apple App Store imefikia downloads za application zipatazo bilioni 50
Apple wamefikia kiasi cha applications bilioni 50 ambazo zimedownloadiwa na watumiaji wa iPhone na iPad.Stoo hii ilifunguliwa rasmi mwaka 2008 na baada ya hapo imekua kwa kiasi kikubwa na kuwa moja ya stoo maarufu sana duniani.
Hiyo ni picha yao iliyoonekana katika mitandao mbalimbali ya internet ikishukuru kwa watu wote waliofikisha kiasi kama hicho.Apple wameweka kijisehemu ambapo kinaonesha ni kiasi gani application zinavyokuwa downloaded na mtu atakaye download application na kufanya namba hiyo kufikia bilioni 50 anapewa kadi ya dola 10000 za kimarekani itayomwezesha kununua applications katika App Store.Wameweka pia bahati nasibu ambapo mshindi katika droo atazawadiwa kadi ya dola 500.Washindi bado hawajatangazwa,ila hivi karibuni wote watatangazwa na kupewa zawadi zao.