May 13, 2013

LG OPTIMUS L7,inajulikana kama Optimus P705 katika baadhi ya masoko Asia.

Hii ni moja ya android smartphones ambazo zina high end features ikiwa inatumia operating system ya android 4.0(ice cream sandwich) na pia unaweza ku afford kama unahitaji simu nzuri lakini huna kiasi kikubwa cha fedha.
Sifa zake hizi ina kioo ambacho kinazuia michubuko na kuvunjika kinachoitwa gorilla glass,ina internal memory ambayo ni 2.75GB,ina processor kubwa ambayo iko clocked at 1GHz ni scorpion processor,Camera ya nyuma ni 5MP na flash na pia ina kamera ya mbele ambayo ni VGA so hii inafaa kwa video calling kama katika kutumia skype na software nyingine za video calling,screen yake ipo clear na inatumia teknolojia ya IPS LCD ikiwa pixel density 217ppi,ina play extension nyingi za video kama divx na xvid kwa hiyo hutakuwa na wasiwasi katika kutembea na episode zako za movie na kuangalia popote uendapo.

No comments :

Post a Comment