Showing posts with label nexus 7(2013). Show all posts
Showing posts with label nexus 7(2013). Show all posts

Dec 24, 2013

Nexus 7(2013),moja ya tab bora kabisa za Android.

Linapokuja swala la kuchagua tablet ya kununua inayotumia Android OS,hapa unakuwa na machaguo karibia mia mbili na ushee.Lakini swali la haraka la kujiuliza"Je!ni tab ipi yenye ubora?".Kwa sasa tab ambazo ni nzuri katika Android ni Nexus 7(2012),Nexus 7(2013),Kindle Fire HDX.Pamoja na kwamba zipo nyingine nzuri lakini hizo ndizo zinazoonekana zenye ubora wa hali ya juu kwa kuzingatia uwiano wa bei zake na jinsi zilivyo kimfumo wa software na hardware.Tuangalie tab ya Nexus 7(2013),kizazi cha pili ambayo imezinduliwa mwezi wa saba mwaka huu.
Tab hii imekuwa designed na Google wenyewe na kutengenezwa na kampuni ya Asus.